Home > Terms > Swahili (SW) > Mwenye dhambi

Mwenye dhambi

mwenye dhambi anayetubu dhambi na kutaka msamaha (1451). Katika Kanisa la kwanza, wenye dhambi walikuwa waamilikiwa na "utaratibu wa wenye msamaha" ambao walifanya toba ya umma kwa ajili ya dhambi zao, mara nyingi kwa miaka mingi(1447). Vitendo vya msamaha vinarejea kwa wale ambao kisheria msamaha kwa mtu unaotokana na toba ya mambo ya ndani au uongofu; vitendo hivyo husababisha na kufuata maadhimisho ya Sakramenti ya Kitubio (1434). Angalia Kuridhika(kwa dhambi).

0
Додати до мого глосарію

Що ви хочете сказати?

Ви маєте виконати вхід для участі в обговоренні.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Глосарії

  • 12

    Followers

Галузь/тема: Network hardware Category:

mtandao wa tarakilishi

mfumo wa vifaa vya tarakilishi viliyounganishwa kiugawana vibali kwa taarifa