![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
Home > Terms > Swahili (SW) > matakwa ya mwaka mpya sahihi kisiasa
matakwa ya mwaka mpya sahihi kisiasa
Tafadhali kubali bila kuwajibika, kusemeka au kufichika, matakwa yangu bora kwa mazingira fahamu, kuwajibika kijamii, kutodhoofika, kutoraibika, jinsia sawa kwa sherehe ya likizo ya msimu wa baridi, iliyofanyika pamoja na desturi za kufurahisha za ushawishi wa dini au taratibu ya kawaida ya uchaguzi wako na heshima ya kidini /ushawishi ya taratibu za kawaida/ au desturi ya wengine, au uchaguzi wao kutofanya mazoezi ya kidini au ya taratibu za kidesturi kabisa.
Pia mimi nawatakia mafanikio ya kifedha,yakutosheleza nafsi na afya isiyo na shida ya kutambua mwanzo wa kukubalika kwa ujumla mwaka wa kalenda mpya ya Gregory, lakini si kutokuwa na heshima ya kalenda ya uchaguzi wa tamaduni nyingine ambao michango ya jamii imesaidia kufanya nchi yetu kuwa kubwa na bila kujali rangi, cheo, rangi, umri, uwezo wa kimwili, imani za kidini au upendeleo wa ngono ya mtakiwa.
Kwa kukubali hii salamu, unakubali masharti haya: Salamu hii inaweza fafanuliwa au kutolewa. Inaweza kusambazwa kwa urahisi bila kubadilisha salamu ya awali. Ina maanisha hakuna ahadi ya mtaka ya kuweza kutekeleza yoyote ya matakwa kwake/ mwenyewe au watu wengine na ni batili ambapo imepigwa marufuku na sheria, na inaweza kurekebishawa kwa uamuzi wa mtaka pekee. Hili takwa inadhaminiwa kufanya kama ilivyotarajiwa ndani ya matumizi ya kawaida ya habari njema kwa kipindi cha mwaka mmoja au mpaka likizo nyingine ya salamu kutolewa baadae, namna yoyote inaweza kutangulia, na udhamini inakarimu kubadilisha takwa hii au utoaji wa takwa mpya kufuatia uamuzi wa mtaka pekee.
Hakuna miti ilioathirika katika kutuma ujumbe huu. (Inaweza kuwa na karanga).
- Частина мови: noun
- Синонім(и): politically correct new years greetings_₀
- Blossary:
- Галузь/тема: Festivals
- Category: New year
- Company: CSOFT
- Виріб:
- Акронім-Скорочення:
Інші мови:
Що ви хочете сказати?
Terms in the News
Featured Terms
Mpendwa Abby
Mpendwa Abby ni jina la sehemu ya ushauri kwenye gazeti iliyoanzishwa mwaka 1956 na Pauline Philips chini ya jina Abigail Van Buren Sehemu hii iliweza ...
Учасник
Featured blossaries
Browers Terms By Category
- Medicine(68317)
- Cancer treatment(5553)
- Diseases(4078)
- Genetic disorders(1982)
- Managed care(1521)
- Optometry(1202)
Health care(89875) Terms
- Biochemistry(4818)
- Molecular biology(4701)
- Microbiology(1476)
- Ecology(1425)
- Toxicology(1415)
- Cell biology(1236)
Biology(22133) Terms
- Zoological terms(611)
- Animal verbs(25)
Zoology(636) Terms
- General art history(577)
- Visual arts(575)
- Renaissance(22)
Art history(1174) Terms
- Bridge(5007)
- Plumbing(1082)
- Carpentry(559)
- Architecture(556)
- Flooring(503)
- Home remodeling(421)