Home > Terms > Swahili (SW) > Ijumaa Nyeusi

Ijumaa Nyeusi

Ni Ijumaa baada ya sherehe ya kutoa Shukrani, na kuanza kwa msimu wa likizo ya ununuzi ambayo si rasmi. Inaitwa Ijumaa 'Nyeusi' kwa sababu inaonyesha hatua ambayo wauzaji wengi huanza kupata faida, au wakati wao wako 'katika weusi' na si katika nyekundu tena.

Siku ya Ijumaa Nyeusi, wauzaji wengi maarufu hutoa punguzo kubwa kwa bei ya mali zao, tukio hili husababisha mamilioni ya wanunuzi wa marekani Kaskazini kujitokeza kwa wingi katika maduka.

0
  • Частина мови: noun
  • Синонім(и):
  • Blossary:
  • Галузь/тема: Festivals
  • Category: Thanksgiving
  • Company:
  • Виріб:
  • Акронім-Скорочення:
Додати до мого глосарію

Що ви хочете сказати?

Ви маєте виконати вхід для участі в обговоренні.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Глосарії

  • 1

    Followers

Галузь/тема: Festivals Category: Christmas

malaika

Wajumbe wa Mungu ambao walijionyesha kwa Wachungaji wakitangaza kuzaliwa kwa Yesu.